Genesis 35:22
22
Wakati Israeli alipokuwa akiishi katika nchi ile, Reubeni mwanawe alikutana kimwili na suria wa baba yake aitwaye Bilha, naye Israeli akasikia jambo hili.
Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili:
Copyright information for
SwhNEN